Siku ya Kifua Kikuu duniani 2024

Siku ya Kifua Kikuu duniani 2024

Katika Siku ya Kifua Kikuu duniani 2024,

TTCN iliungana na wadau mbalimbali pamoja na wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika kutekeleza hatua madhubuti za uchunguzi wa Kifua Kikuu, unaolenga kuendeleza mapambano dhidi ya Kifua Kikuu nchini Tanzania. Mpango huu ulijumuisha uenezaji wa kina wa nyumba kwa nyumba katika kaya, kumbi za mikutano kwenye jamii, kuonesha dhamira yetu isiyoyumba katika kutokomeza Kifua Kikuu